Wachimba migodi wadai usalama zaidi kazini | Habari za Ulimwengu | DW | 04.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wachimba migodi wadai usalama zaidi kazini

Kiasi ya wachimba migodi 240,000 wameitisha mgomo wa siku moja nchini Afrika Kusini.Waajiriwa hao wanataka usalama zaidi katika kiasi ya migodi 700 nchini humo.Maandamano pia yamepangwa kufanywa katika mji wa Johannesburg.Mwaka huu,zaidi ya wachimba migodi 200 wamepoteza maisha yao katika ajali zilizotokea kazini.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com