1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waathiriwa wa mauaji ya Wagalla wasaka haki

Thelma Mwadzaya/MMT3 Machi 2020

Fahamu zaidi kuhusu mauaji ya Wagalla yaliyotokea mwaka 1984 na juhudi za familia za waathiriwa kusaka haki. Tukio hilo liliwafika wengi walioishi eneo la Giriftu iliko Kaunti ya Wajir kwa sasa nchini Kenya. Ungana na Thelma Mwadzaya katika makala haya.

https://p.dw.com/p/3YWDi