1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyoo vinavyokuza usafi katika mitaa ya mabanda Nairobi

11 Oktoba 2019

Katika mitaa ya mabanda mjini Nairobi, usafi huwa ni changamoto kutokana na idadi kubwa ya watu. Isikose wengi hukosa vyoo vya kujisaidia. Si ajabu baadhi ya watu hutumia karatasi kujisaidia kisha wanatupa. Lakini sasa kuna mradi wa choo kwenye makontena. Kando na vyoo hivyo kusaidia kudumisha usafi pia, vinyesi hutumiwa kutengeneza mbolea.

https://p.dw.com/p/3R9qj