1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wajadili ukame na janga la njaa Kenya

Reuben Kyama27 Machi 2017

Ukame na janga la njaa ni mambo yanayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini Kenya. Serikali imejitahidi kuyatafutia ufumbuzi masuala haya yaliyowaathiri Wakenya wengi. Je, juhudi hizo zimeleta tija? Sikiliza kipindi cha Vijana Tutuguke kilichoandaliwa na Reuben Kyama.

https://p.dw.com/p/2a4Lo