1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wadogo na juhudi za kupanda miti huko Kenya

Sylvia Mwehozi
7 Agosti 2019

Taifa la Kenya ni mojawapo ya mataifa yenye viwango vya chini vya maeneo ya misitu hii ikiwa ni kulingana na vigezo vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa kote duniani. Ungana na Musa Naviye katika makala ya Mtu na Mazingira akikueleza namna vijana wadogo walivyoamua kukuza miti katika eneo la Vihiga, magharibi mwa Kenya.

https://p.dw.com/p/3NUL7