1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Redsplash Mombasa wakusanya damu kwa hiari

Mohammed Khelef
8 Novemba 2019

Mara kadhaa hutokea majanga au ajali zinazolazimisha wagonjwa kuhitaji damu ili kuokowa maisha yao, lakini panakuwa hapana damu hiyo na hivyo maisha hupotea bure. Ndipo sasa vijana wajiitao "Redsplash" wa Mombasa, Kenya, wakaamuwa kujitolea kwa kazi ya kukusanya damu kutoka kwa wasamaria wema na kuisambaza kwenye vituo vya afya. Wasikilize hapa.

https://p.dw.com/p/3Sheo