Vijana na Ubunifu wa Mitindo | Masuala ya Jamii | DW | 16.03.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Vijana na Ubunifu wa Mitindo

Katika miaka ya hivi karibuni vijana wamejiingiza katika tasnia ya mitindo kwa lengo la kuwa wataalamu na washauri wa mitindo ili kuleta muonekano tofauti kwa watu.

Kipindi cha Vijana Mchaka Mchaka kitaangalia zaidi ni kwa nini vijana sasa wameamua kujiingiza katika tasnia ya ubunifu wa mitindo? Na zipi changamoto wanazokumbana nazo katika kazi yao ya mitindo?

Ili kufahamu mengi kuhusu mada hiyo, ungana na Grace Kabogo katika makala ya Vijana Mchaka Mchaka.

Kusikiliza makala hii bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com