1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Vijana Mchakamchaka: Umaarufu mitandaoni na athari zake

26 Mei 2023

Katika ulimwengu wa sasa, ni vigumu kuiepuka mitandao ya kijamii. Na katika mitandao hiyo, wale wenye wafuatiliaji wengi au ambao maudhui yao hutazamwa na idadi kubwa ya watu, ndio wanaofahamika kama watu maarufu wa mitandaoni. Na hilo bila shaka lina faida kemkem lakini pia wakati mwengine linaweza kuwa na athari. Ni vipi umaarufu huo wa mitandaoni unaweza kuathiri maisha yao?

https://p.dw.com/p/4Rjj0