Utata, upungufu wa ARV nchini Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 29.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Utata, upungufu wa ARV nchini Kenya

Utata kuhusu upungufu wa dawa za kupambana na makali ya virusi vya ukimwi nchini Kenya unaendelea huku rais Uhuru Kenyatta akifanya mabadiliko kwenye taasisi inayosimamia ununuzi na usambazaji wa vifaa vya matibabu nchini humo KEMSA, inayohusishwa na utata huo. Mwaathirika wa VVU Juliet Akinyi na mwanaharakati Cidi Otieno walizungumza nasi. Msikilize kwanza Julie.

Sikiliza sauti 02:34