1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utafanya nini kuzitimiza ndoto zako?

Lilian Mtono
28 Januari 2019

Kwenye Vijana Mubashara, 77 asilimia, Vijana wanajaribu kubadilishana mawazo kuhusu kile watakachokifanya ili kuhakikisha wanatimiza ndoto zao. Wapo waliowahi kufanya maajabu na dunia ikawashangaa ali mradi tu apate hitaji lake. Maoni ni tofauti na kila mmoja amesema lake. Ili kusikia zaidi kuhusu mada hii sikiliza makala haya.

https://p.dw.com/p/3CItg