Ushindi wa Msambweni, Mombasa kuathiri mchakato wa BBI? | Matukio ya Afrika | DW | 16.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Ushindi wa Msambweni, Mombasa kuathiri mchakato wa BBI?

Mgombea wa kujitegemea Faisal Bader ameshinda uchaguzi mdogo wa jimbo la Msambweni huko Mombasa. Ushindi wa mgombea huyo, mshirika wa makamu wa rais William Ruto unaonekana pigo kwa ushirikiano wa Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta kuelekea kura ya maoni ya BBI. Bi Maimuna Mwidau mchambuzi wa siasa za Kenya alizungumza na Sylvia Mwehozi.

Sikiliza sauti 02:46