1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushawishi wa kilimo cha parachichi Nakuru

Josephat Charo
19 Septemba 2019

Kilimo cha parachichi nchini Kenya ni hoja mpya ila wakulima wengi wanashawishika kuyasafisha mashamba yao na kuujaribu mmea huu. Hatua ya serikali kutafuta soko la zao hilo vile vile imewatoa wakulima shauku ya kugeukia kilimo cha parachichi kati ya mimea mingine inayostahimili mabadiliko ya tabia nchi. Jiunge na Wakio Mbogho katika makala yetu leo.

https://p.dw.com/p/3PsUj