1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Mbiu ya Mnyonge

Shisia Wasilwa
3 Julai 2018

Miaka mitatu iliyopita watu 20 waliuawa katika eneo la Mukutani, liliko Baringo nchini Kenya. Hofu na maafa yaliwafanya wakazi kutoroka eneo hilo. Kwenye makala ya Mbiu ya Mnyonge Shisia Wasilwa anaelezea kadhia zao.

https://p.dw.com/p/30kSX