1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upishi wa karamu

Grace Kabogo
21 Agosti 2020

Upishi na ulaji karamu ni utamaduni maarufu uliozoeleka kwa Waswahili wa ukanda wa Pwani linalohusisha eneo kubwa la pwani ya Afrika Mashariki. Huwa unahusisha upishi wa majungu makubwa ya vyakula na baadae kugawiwa kwa wapita njia na waalikwa wa karamu kama sadaka.

https://p.dw.com/p/3hIqu