1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya waituhumu serikali kukandamiza vijana

Wakio Mbogho6 Juni 2023

Muungano wa upinzani nchini Kenya unadai kwamba serikali ya taifa hilo inatumia kisingizio cha kundi haramu la mungiki kuwagandamiza vijana wa eneo la mlima Kenya lililo na umaarufu wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/4SFMC