1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uongozi wa Marsabit waingia lawamani

Michael Kwena7 Juni 2021

Mamlaka nchini Kenya zinawalaumu viongozi wa Marsabit kaskazini mwa nchi hiyo kwa ongezeko la uhasama na vita vya kikabila kila wakati. Kwa mujibu wa wizara ya usalama, viongozi kutoka jimbo hilo wamekuwa wakilifumbia macho swala la usalama na kutumia mizozo ya kijamii kujiendeleza kisiasa. Kutoka Marsabit, Michael Kwena alituandalia ripoti hii. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3uWVW