1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unyanyasaji wa kijinsia waongezeka Mombasa kipindi cha COVID-19

18 Septemba 2020

Ukisikia msumari juu ya donda bichi ndio huu. Dhuluma zinazosababishwa na unyanyasaji wa kijinsia zinaripotiwa kuongezeka kipindi hiki dunia ikikabiliana na janga la virusi vya corona. Fathiya Omar amekutana na mkasa huu mjini Mombasa nchini Kenya, mmoja tu kati ya mingi ya aina hii.

https://p.dw.com/p/3ih9a