1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unayajua madhara ya kujitibu mwenyewe?

Faiz Musa MMT3 Desemba 2020

Najua wengi wetu huwa tunakimbilia duka la dawa kununua dawa kama panadol, aspirin, flagyl wakati tukipata maumivu kama ya tumbo au kichwa na hata homa bila hata ya kwenda kwa daktari. Lakini imeksiwshawahi kusikia madhara ya kujitibu mwenyewe? Tafadhali usiache kusikiliza makala haya ya afya kujielimisha kwa sababu ni hatari sana kufanya hivyo.

https://p.dw.com/p/3mA0U