Umuhimu wa kupanda miti asili mpwani ya Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 03.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Umuhimu wa kupanda miti asili mpwani ya Kenya

Miti ya kiasili imekuwa ikipundua kutokana na kukatwa mbao kwa ajili ya ujenzi. Asilimia 80 ya chakula inatokana na miti hivyo kuna haja ya watu kuifahamu miti hiyo ya kiasili na kupanda japo mmoja. Ungana na Faiz Musa kutoka Mombasa, Kenya kuelewa zaidi.

Sikiliza sauti 09:46