1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Falme za Kiarabu umekubali kuizambazia Ujerumani gesi

26 Septemba 2022

Ujumbe wa wafanyabiashara wa Ujerumani umeandamana na kansela Scholz katika ziara yake katika mataifa ya Ghuba katika wakati ambapo biashara zinakabiliwa na hatari ya uhaba wa gesi msimu huu wa baridi.

https://p.dw.com/p/4HMr0