1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulimwengu wa "Slay Queens"

26 Februari 2018

Kuna kizazi kipya cha kina dada wanaojadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Wanaitwa 'Slay Queens'. Lakini hawa warembo ni kina nani? Majibu utayapata katika Vijana Mchakamchaka na Bruce Amani.

https://p.dw.com/p/2tLEz