1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukatili dhidi ya wanawake barani Ulaya hasa Ufaransa

Daniel Gakuba28 Novemba 2019

Natumai hujambo popote ulipo, karibu katika makala ya Mwangaza wa Ulaya. Tutaliangazia janga la ukatili wa wanawake barani Ulaya, tukijikita Ufaransa, nchi ambayo inaongoza kwa visa vya namna hiyo. Mtayarishaji wako ni mimi Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/3TsWs