1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukame watishia maisha ya wakazi wa Wajir, Kenya

Shisia Wasilwa16 Julai 2019

Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir nchini Kenya kwa miezi mitatu iliyopita, huku wakazi wakiwa wanahofia maisha yao pamoja na ya mifugo yao. Mamlaka ya kudhibiti Ukame wameelezea kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi.

https://p.dw.com/p/3M8gj