1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhusiano wa Israel. UAE, Morocco na Bahrain watimiza mwaka

15 Septemba 2021

Umoja wa Falme za kiarabu UAE, Morocco na Bahrain zinaadhimisha mwaka mmoja tangu mataifa hayo kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel, chini ya mkataba wa Abraham ulioratibiwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Je Mkataba wa Abraham umekuwa na athari yoyote?Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ahmed Rajab

https://p.dw.com/p/40MeW