1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bahrain

Bahrain ni nchi iliyopo karibu na mwambao wa Ghuba ya Uajemi, Mashariki ya Kati. Inaundwa na visiwa 30 na imekuwa kituo kikuu cha biashara tangu enzi.

Bahrain ilitangaza uhuru wake 1971 kutoka Uingereza. Tokea mwanzoni mwa 2012, nchi hiyo imekuwa ikikabiliana na machafuko yanayotokana na vuguvugu la maandamano ya kudai demokrasia.

Onesha makala zaidi