1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhuru Kenyatta atarajiwa kushinda kwa kura nyingi

Sylvia Mwehozi
27 Oktoba 2017

Uhuru Kenyatta kushinda kwa asilimia nyingi ya kura. Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru na kuwa Jamhuri. Na Marekani yatoa maelfu ya mafaili ya siri mtandaoni kuhusu kifo cha rais John F. Kennedy. Papo kwa Papo 27.10.2017.

https://p.dw.com/p/2mdV8