Uhuru Kenyatta atarajiwa kushinda kwa kura nyingi | Media Center | DW | 27.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uhuru Kenyatta atarajiwa kushinda kwa kura nyingi

Uhuru Kenyatta kushinda kwa asilimia nyingi ya kura. Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru na kuwa Jamhuri. Na Marekani yatoa maelfu ya mafaili ya siri mtandaoni kuhusu kifo cha rais John F. Kennedy. Papo kwa Papo 27.10.2017.

Tazama vidio 01:52
Sasa moja kwa moja
dakika (0)