Licha ya mvua kubwa kunyesha nchini Kenya na maeneo mengi ya Afrika Mashariki, lakini uhaba wa maji bado ni tatizo kubwa. Je kuna mipango gani ya kuhifadhi maji ya mvua ili yaweze kuwasadia wakazi wa Kenya? Hilo ni swali analoliuliza Shisia Wasilwa katika makala ya Mtu na Mazingira.