1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu mji wa Daru salam wa Mogadishu

17 Juni 2021

Mji wa Daru salam unapatikana kilometa 7 kutoka mji wa Mogadishu huko Somalia na umeanzisha mradi mpya wa makaazi unaovutia Wasomali walioko nje ya nchi kuwekeza nchini humo na sasa ujenzi wa majumba mapya umeshamiri. #kurunzi 17.06.2021

https://p.dw.com/p/3v64m