1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Twitter inavyokosoa taarifa zinazopotosha mtandaoni mwake

Yusra Abdallah Buwayhid/MMT10 Juni 2020

Makala ya Sema Uvume safari hii inaangalia kwa upana zaidi hatua ya mtandao wa Twitter, kukosoa baadhi ya taarifa zilizotumwa na wanasiasa wanaotumia jukwaa hilo, kati yao akiwamo Rais wa Marekani Donald Trump. Yusra Buwahyid anakuarifu mengi zaidi kuhusu hilo na mengine mengi.

https://p.dw.com/p/3dZEB