Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Rais wa Marekani ameondoka hospitali baada ya kutibiwa COVID-19. Rais Trump amesema anajisikia vizuri sana. Hata hivyo haijajulikana atakaa karantini kwa muda gani. Awali alisema anatarajia kurejea kwenye kampeni hivi karibuni. #Kurunzi #COVID-19
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3jhzK
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden ameuzindua mpango wa uokozi wa dola trilioni 1.9 kwa ajili ya kupambana na janga la virusi vya corona na kuufufua uchumi wa nchi hiyo.
Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona
Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani wameonya kwamba miezi sita ijayo ya 2021 itakuwa migumu kabla ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kuanza kutoa kinga na kuleta afueni wakati wa janga hili la virusi vya corona.
Shrika la Afya Duniani WHO limetahadharisha dhidi ya wasiwasi wa kupindukia kuhusu aina mpya ya virusi vya corona vinavyosamba kwa kasi kubwa, baada ya kugunduliwa nchini Uingereza na baadae Afrika Kusini.