Trump apingwa ndani na nje ya Marekani | Media Center | DW | 02.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump apingwa ndani na nje ya Marekani

Baada ya kuukataa mkataba wa tabia nchi Wamarekani waandamana kumpinga Trump,Wakimbizi 44 wafariki kwa kiu kikali jangwa la Sahara wakielekea Libya na Tume ya uchaguzi Rwanda yabadili kibao baada ya kuzodolewa na wapinzani pamoja na wanadiplomasia kuhusu mitandao ya kijamii

Tazama vidio 02:17
Sasa moja kwa moja
dakika (0)