Tiba asilia badi muhimu Kenya | Anza | DW | 15.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Tiba asilia badi muhimu Kenya

Mganga wa tiba asilia nchini Kenya Bi Njoki Kiarie, anasema tiba ya aina hiyo bado ni muhimu kwa afya ya binadamu, akisema inasaidia mwili kujijengea Kinga na kuepusha madhara yatokanayo na dawa za kisasa. Msikilize halafu utujulishe iwapo unakubaliana naye au la.

Tazama vidio 02:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)