1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan Kusini

Tathmini kuhusu ziara ya Papa DRC na Sudan Kusini

Lillian Mtono3 Februari 2023

Ujumbe mkuu kwenye ziara ya Papa Francis nchini Congo na Sudan Kusini ni amani na maridhiano. Huko Sudan Kusini, wakazi wameonyesha matumaini makubwa kwamba ziara yake huenda itabadilisha hali ilivyo nchini mwao. Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa aliyeko nchini Tanzania Gwandumi Mwakatobe, kuhusu tathmini yake juu ya ziara ya Papa kwenye mataifa hayo.

https://p.dw.com/p/4N3as