Tanzania: Tundu Lissu mahakamani | Matukio ya Afrika | DW | 28.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania: Tundu Lissu mahakamani

Mwanasiasa huyo wa CHADEMA anashtakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ikiwemo kula njama ya kutoa chapisho lenye uchochezi akiwa na mwandishi wa habari, mhariri na mchapishaji wa gazeti la Mawio.

Sikiliza sauti 03:15
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar es Salaam

Kesi ya uchochezi inayomkabili mwanansheria na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, na wengine watatu akiwemo mhariri na mmiliki wa gazeti la Mawio imeendelea kutajwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, huku ikionekana kuvutia wafuasi wengi wa kisiasa pamoja na wachambuzi wa masuala ya kisisasa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com