Tanzania: Sheria ya ndoa inachochea unyanyasaji wa kingono kwa watoto | Masuala ya Jamii | DW | 18.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tanzania: Sheria ya ndoa inachochea unyanyasaji wa kingono kwa watoto

Wanaharakati wa masuala ya jinsia na watoto nchini Tanzania wamekiri kuwa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inachochea unyanyasaji wa kingono kwa watoto hususan wale wa kike.

Sikiliza sauti 03:27