1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 8.03.2021

8 Machi 2021

Zaidi ya watu 15 wauawa na wengine zaidi ya 420 kujeruhiwa katika Jamhuri ya Guinea ya Ikweta kufuatia milipuko kadhaa, waasi wa Houthi nchini Yemen warusha ndege 14 zisizo na rubani na makombora 8 katika taasisi za shirika la mafuta la Saudi Arabia, Saudi Aramco na Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM lasema moto mkubwa umezuka katika kituo cha kuzuia wahamiaji mjini sanaa nchini yemen

https://p.dw.com/p/3qKgC