1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 27.10.2018

Yusra Buwayhid
27 Oktoba 2018

Mshukiwa anaetuma vifurushi vya mabomu kwa wanasiasa wa Kidemocratic akamatwa Marekani. Umoja wa Mataifa wasema Syria yapinga juhudi za kuandiwa rasimu ya katiba mpya. Na kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema uchumi imara wa Afrika utapunguza wahamiaji barani Ulaya.

https://p.dw.com/p/37GSH