1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi: 27.05.2022

27 Mei 2022

Ukraine yasema mapigano yameingia katika hatua kali mashariki mwa nchi hiyo. Viongozi wa Umoja wa Afrika leo waanza mikutano miwili ya kilele katika mji mkuu wa Guinea ya Ikweta, Malabo. China na Urusi zapinga vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/4Bv5g