1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi: 25.06.2020

25 Juni 2020

Maambukizi ya virusi vya corona yaendelea kuongezeka nchini Marekani na Brazil. Umoja wa Ulaya wapanga kuzindua mfuko wa kupambana na athari za corona. Shirika la fedha la kimataifa IMF latoa makadirio ya ukuaji wa uchumi duniani.

https://p.dw.com/p/3eIgO