1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi: 23.08.2020

23 Agosti 2020

Alexei Navalny, mkosoaji wa rais Putin aanza matibabu katika hospitali nchini Ujerumani. Vifo kutokana na COVID -19 vyapindukia laki nane duniani kote. Wajumbe kutoka Afrika Magharibi wakutana na wanajeshi waliomwondoa madarakani rais Ibrahim Keita.

https://p.dw.com/p/3hM9B