1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 19.01.2019

Yusra Buwayhid
19 Januari 2019

Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kufanya mkutano wa kilele wa pili Febuari. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas aitaka Urusi na Ukraine kutuliza mgogoro. Na, maafisa nchini Kenya wahofia huenda wazaliwa wa nchini humo walihusika na shambulio la Jumanne.

https://p.dw.com/p/3Bovy