1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi: 05.03.2021

5 Machi 2021

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis atarajiwa kuwasili nchini Iraq leo Ijumaa. Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ataka watawala wa kijeshi nchini Mynmar wawekewe vikwazo. Mashirika ya misaada yasikitishwa na maafa ya nchini Syria.

https://p.dw.com/p/3qEVK