1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 14.02.2019

Sylvia Mwehozi
14 Februari 2019

Walinzi 27 wa jeshi la wanamapinduzi Iran wauawa katika shambulio la kushutukiza . Afisa jasusi wa zamani wa Marekani ahukumiwa kwa kutoa taarifa za siri kwa Iran . Na Mkutano kuhusu Mashariki ya Kati kuendelea leo chini Poland.

https://p.dw.com/p/3DLng