Nchi 54 za Afrika zamtaka rais wa Marekani Donald Trump aombe radhi kutokana na lugha yake mbaya. Makubaliano yaliyofikiwa mjini Berlin kati ya vyama vya CDU/CSU na SPD kuhusu mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto yaungwa mkono na mabaraza ya uongozi wa vyama hivyo. Misri yarefusha tena sheria ya kutotoka nje Kaskazini mwa jangwa la Sinai.