1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi: 11.12.2017

11 Desemba 2017

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amtaka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu achukue hatua za kuleta amani kati ya nchi yake na Wapalestina. Umoja wa nchi za Kiarabu unataka Palestina itambuliwe kuwa nchi. Upinzani nchini Kenya umeahirisha mpango wa kuapishwa Raila Odinga uliopangwa kufanyika hapo kesho tarehe 12.

https://p.dw.com/p/2p7TC