17 Juni 2019
Matangazo
-Rais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir afikishwa mahakamani mjini Khartoum.
-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azindua makazi ya walowezi katika milima ya Golan, ayapa jina la Donald Trump.
-Ujerumani yauza silaha kwa nchi zilizo katika ushirika wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, awali iliyasitisha mauzo hayo.