1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUjerumani

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
1 Desemba 2022

-Ukraine inasema Urusi imezidisha mashambulizi mapya mashariki mwa nchi, NATO yaahidi kusaidia. -Rais wa Rwanda Paul Kagame amtuhumu Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutumia mzozo kama kisingizio cha kuchelewesha uchaguzi -Kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS lasema kiongozi wake ameuawa katika mapigano

https://p.dw.com/p/4KJnd

-Ukraine inasema Urusi imezidisha mashambulizi mapya mashariki mwa nchi, NATO yaahidi kusaidia.

-Rais wa Rwanda Paul Kagame amtuhumu Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutumia mzozo kama kisingizio cha kuchelewesha uchaguzi

-Kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS lasema kiongozi wake ameuawa katika mapigano