1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 Asubuhi 22.05.2018

22 Mei 2018

Mkutano wa Rais Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un huenda usifanyike. Nchi 14 za kundi la Lima zasema hazitambui kuchaguliwa tena kwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Marekani yatangaza vikwazo vikali dhidi ya Iran.

https://p.dw.com/p/2y5Ci