1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari Asubuhi: 07.04.2019

Zainab Aziz
7 Aprili 2019

Waziri mkuu wa Uingereza akiri kwamba mkataba wa Brexit hautapitishwa hivi karibuni. Rwanda yaadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari. Nchini Libya Majeshi ya waasi yasema yameuteka uwanja wa ndege wa Tripoli.

https://p.dw.com/p/3GPkn